Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper wa ‘Mrs
Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines kwa
picha zake kwenye mtandao wa Instagram. Na sasa ameamua kuwaonesha
followers wake umbo lake lililomfanya apate cheo cha ‘Umrs Supastaa’
kutoka kwa Young Killer. Jionee
Post a Comment
Post a Comment