Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Raisi Kikwete.
Hivi Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa
New York,Ma Promoter wake pamoja na Yeye mwenyewe walikaribishwa na
Mheshimiwa Raisi ambapo mbali na mambo mengine Mheshimiwa alimpongeza
Diamond katika mafanikio yake ikiwa nipamoja na Kuchaguliwa kuwania tuzo
za BET hapa nchini Marekani.Raisi hakuwahi kupata nafasi ya kumpongeza
kijana huyo kwani wakatimatangazo yalipotoka Diamond alikuwa nje ya
nchi.Mheshimiwa pia alimkutanisha Diamond na aliyekuwa Raisi wa Def Jam
Record/Warner Bros
Music group Mr Kevin Liles ambaye alionyesha nia ya kufanya mambo makubwa na Diamond.
Kevin ni Multi Millionare mwenye utajiri wa
zaidi ya Dollar Milioni 60 ambaye kwa sasa ni manager wa wanamuziki Trey
Song,Big Sean,Ty Dolla Sign,Kuna uwezekano mwanamuziki Diamond
akawajoin Hao hivi karibuni..waingereza wanasema(hard work
pays)Congratulation to Diamond for hard work and Thank you Mr President
for Supporting your Youths.
Kuna jambo liliwafurahisha kutoka kwenye video za Diamond
Je wataka kujua Nini hapa kilikuwa kikizungumziwa?
Kevin akiangalia Video ya Diamond akiwa Congo kwenye simu yake.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment