Hivi
karibuni kituo cha K24 cha nairobi kilibaini kile ambacho watu wengi
kiliwaacha mdomo wazi kuwa, wapo wake za watu wanaofanya shughuli za
kuuza miili yao mchana na usiku kurejea nyumbani kwenye ndoa zao.
Kwenye uchunguzi huo wa hatari, waandishi wa kituo hicho walienda
kwenye baadhi ya madanguro na kujifanya wateja huku wakiwa na camera
zilizokuwa zimefishwa. Tazama video hii itakayokuacha mdomo wazi.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment