
Jeshi la
Polisi Mkoa wa Mbeya Limetumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Wendesha
Bodaboda Maarufu kama Bodaboda mara baada ya waendesha Bodaboda hao
Kufunga barabara Kushinikiza Kutaka nkuchukua Sheria mkononi kwa
Mtuhumiwa Aliyedaiwa Kumuuwa Muendesha boda boda Mwenzao.Wakieleza zaidi
wamesema kwamba Juzi Kuna Muendesha Pikipiki Mmoja Alitekwa na Kisha
Kuuuliwa na Mtu Asiyefahamika ambapo jana Alizikwa.Leo Asubuhi waendesha
Bodaboda hao kupata Taarifa kuwa Mtualiyefanya Mauwaji yaho Ameonekana
Mtaani Ndipo walipoandamana Kwenda Kumkamata Mtuhumiwa Huyo wakati Huo
Jeshi la Polisi walishapata Taarifa Kuhusu Tukio hilo na kuwahi Eneo
latukio walipofika Eneo la Tukio na Kumkamata Mtuhumiwa huyo hali
iliyosababisha Mtafaruku waendesha Dodaboda hao Kushinikiza Jeshi la
Polisi kuwakabidhi Mtuhumiwa Aliyehusika na Mauwaji ya Mwenzao hali
iliyoleta Vurugu Ndipo jeshi la Polisi walipolazimika Kutumia Mabomu ya
Machozi kuwatawanya.
Chanzo ITV
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment