Baadhi ya daladala leo hapa mkoani kigoma wagoma huku wakiishutumu sumatra na trafiki kuwatoza faini kubwa zisizozingalia haki, wataka kuonana na mkuu wa mkoa wa kigoma, vinginevyo kuendelea kugoma pasipo kikomo.
Wanatakiwa kushonesha sare mpya huku wakitakiwa sare hizo zishonewe VITA huku gharama yake ikiwa kubwa sana kuliganisha na mtani,
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment