Mke
anasema hii sio mara ya kwanza kwa wao kukuta jeneza dogo likiwa na paka
ndani yake ambapo wakati uliopita alichukua hilo jeneza na kwenda
kuchoma kisha baada ya siku mbili akakutana na kitu kilekile
mlangoni.Familia ya Elias Oganda huko Seme jimbo la Kisumu nchini kenya
inasema huenda kitendo hiki kimetokana na mzozo wa shamba japo
hawafahamu aliye katika ugomvi huo.
Elias
anataka aliye na tatizo naye kujitokeza kusuluhisha ili kuachana na hii
ya huyo asiyejulikana kuleta jeneza lenye miili wa paka mlangoni mwake
kila wakati.
Unaambiwa jeneza hili lenye mwili wa paka aliekufa limekuwa likiwekwa nje ya mlango wa Julius hii ikiwa ni mara ya nne sasa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment