Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mashabiki wa reality show ya Big Brother Africa mwaka huu watakuwa na muda mfupi zaidi wa kupata burudani ya kipindi hicho, baada ya siku za washiriki kukaa kwenye mjengo wa Biggie kupunguzwa kutoka 91 kama ilivyokuwa miaka mingine hadi siku 63.
Hotshots_NL
Huenda kupunguzwa kwa siku kumketokana na BBA Hotshots kuchelewa kuanza baada ya nyumba iliyokuwa imeandaliwa kuungua moto September 2, na kusababisha kuahirishwa kwa uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika September 7 na sasa utafanyika October 5.
Hii ni sehemu ya habari inayotaja siku 63 za shindano la mwaka huu iliyoandikwa kwenye website maalum ya Big Brother Hot Shots.

“Big Brother Africa returns to the continent’s television screens, a little later, a lot better and definitely hotter! Big Brother HotShots is going to dish out drama, more entertainment than you can handle and most importantly a cool USD300 000 to the housemate who will manage to survive 63 days in Biggie’s house“.
Isome hapa taarifa hiyo.
Bonyeza Hapa like page yetu 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top