UZEMBE WA MADEREVA NDIYO CHNZO CHA AJALI NYINGI TANZANIA. HII IMETOKEA BUNJU A DAR-SALAAM.
DEREVA WA
LORI ALITAKA KULIPITA GARI DOGO LILILOKUWA MBELE YAKE WAKATI HUO HUO
GARI HILO DOGO LILIKUWA LINAKATA KONA HIKI NDICHO KILICHOTOEA. BAHATI
NZURI HAKUKUTOKEA KIFO KATIKA AJALI HII....

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment