
Magoli ya West ham yamepatikana katika dakika ya pili ya mchezo likitiwa kwenye nyavu na W. Reid Dakika 5 baadae Sakho aliipatia West ham goli la pili, mnamo dakika ya 27 Sterling aliipatia Liverpool goli baada ya kupiga shoot kali moja kwa moja likatinga nyavuni. ilikuwa ni siku mbaya kwa majongoo wa jiji la Liverpool kwa wiki nyingine kufungwa dakka ya 88 Amalfitno aliipatia West Ham goli la tatu. Mpaka mpira unaisha West Ham 3 vs 1 Liverpool.
Raheem Sterling of Liverpool scores is team's first goal as teammate Mario Balotelli of Liverpool jumps to avoid the shot
West Ham starting XI: Adrian, Demel, Reid, Tomkins, Cresswell, Noble, Kouyate, Song, Downing, Sakho, Valencia.
West Ham subs: Zarate, Vaz Te, Jenkinson, Collins, Amalfitano, Jaaskelainen, Cole
Liverpool starting XI: Mignolet, Manquillo, Moreno, Lovren, Skrtel, Gerrard, Henderson, Lucas, Sterling, Borini, Balotelli
Liverpool subs: Jones, Enrique, Toure, Lambert, Sakho, Lallana, Markovic.
Bonyeza Hapa like page yetu
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment