March 17, 2025 11:28:32 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


January 22, 2016 akiwa njiani Kutoka Arusha Mjini kwenda Monduli kufunga "Zoezi Onesha Uwezo Medani" lililofanywa na Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli alisimamishwa na wananchi waliojipanga kandokando mwa barabara mara nane.

Rais Magufuli alivaa sare za kijeshi tayari kwa kwenda kufanya kazi za Jeshi la wananchi Tanzania ikiwa ni halali kufanya hivyo kwa mujibu wa Sheria ya Jeshi la wananchi ya mwaka 1966.


Msemaji wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kanali Ngemela Lubinga ametoa ufafanuzi wa Rais Magufuli kuvaa sare hizo



==>Tazama Video Hii Kumsikiliza

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
24 Jan 2016

Post a Comment

 
Top