Aliyekuwa mgombea Urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wakazi wa mnada wa Dakawabaada ya kusimama na kuwasalimia.
Lowassa alikuwa safarini kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment