Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
wasanii 3
Jackline Wolper ni mwigizaji kutoka bongo movie ambaye August 6 2015 alipost picha ya Ali Kiba na Diamond wakionekana pamoja kwenye foleni ya chakula kwenye party iliyofanyika ya kumuaga Rais Kikwete Mlimani City Dar es salaam.
Wasanii
Baada ya kuiweka hiyo picha hapo juu aliandika >>>  Sasa nyie endeleeni kugombanisha watu wanaojuana namsiojua walipotoka haya sasa mwanzo ndo ule kati mlizusha mwisho mnapajua???? waacheni jamani…. Mungu atapanga mwenyewe watag namuonge chochote chenye kujenga syo kubomoa # one love ‘

wasanii 2

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top