Usiku wa August 6 2015 jana Mlimani City Dar es Salaam, Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amekutana na wasanii ambapo kilichofanyika hapo ni hafla ya kumuaga Rais JK ambapo imebaki kama miezi miwili hivi amalize awamu yake ya uongozi, hapa kuna picha Rais alivyopita meza mojamoja na kuwapa mikono pamoja na kupiga picha na wasanii mbalimbali.
Rais Kikwete akiwa ameongozana na Waziri John Magufuli, Abdulrahman Kinana, Naibu Waziri January Makamba na DC Paul Makonda.
.
.
Rais JK akaanza kupita meza moja moja kusalimiana na watu wote waliopo ndani ya Ukumbi.
Wengine wakapata na Selfie kabisa.
Malaika kwenye pozi la selfie na Mr. President.
Rais JK akisalimiana na Diamond Platnumz.
Rais JK anasalimiana na Mzee Yusuph.
Rais JK na mwigizaji Dokii.
Rais JK na mwigizaji Kitale.
Ben Pol, G Nako na Rais JK kwenye pozi la Selfie, pembeni yuko Daian Soul.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment