March 18, 2025 01:02:12 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
shsh
Baba wa mtoto aliyezaa na Shilole amejitokeza na kulalamika kusingiziwa na msanii huyo kuhusu kumbaka..na kusisitiza alikua na uhusiano naye na amekana kumbaka.
Shilole amezungumza na Soudy Brown na kusema mwanaume huyo hajui mtoto anakula nini wala ana miaka mingapi hivyo hataki hata kumsikia kwa kuwa hilo jambo bado linamuumiza na hataki mtoto wake ajue nini kinaendelea kati yake na baba wa mtoto wake.
Pia amesema amepanga kutoa elimu kwa wanawake na wasichana ambao hufanyiwa vitendo vya unyanyasaji kutoka kwa wanaume zao.
Msikilize hapa mtu wangu…

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
03 Jul 2015

Post a Comment

 
Top