March 17, 2025 10:42:20 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot kwenye Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.
 
“S/O to my bro Jchameleone kwa kuonesha support pale inshallah atakapochukua mama form ya kugombea Ubunge Viti maalum.. Tutakuwa nae kwenye campaign mwanzo mwisho.. Thank u so much bro.. Lets support Wema Sepetu,” aliandika Petit kwenye picha hiyo chini:

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
04 Jul 2015

Post a Comment

 
Top