March 17, 2025 03:25:58 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wengi sasa hivi tunafahamu ya kuwa Aunt Ezekiel ni mama wa mtoto mzuri wa kike aliempa jina la Cookie, baba wa mtoto huyo ni moja ya dancers wa Diamond Platnumz, ambaye anaitwa Mose Iyobo.

Muda mfupi uliopita staa huyu wa Bongo Movie ameweka picha @Instagram, amejichora tattoo ya jina la mwanae na mpenzi wake.
 “Sababu ya kuishi, kupumua, kupambana na mafanikio, kupenda na kuumia, kusahau na kusamehe. Sababu ya mimi kuwepo ni wao. Eeehh Mungu! nibariki mimi na wapendwa wangu wawili. Na kwa haya nashukuru. HAPPY 40 DAYS MY WORLD…….@cookie_la_princessa_iyobo”<<<Baada ya maneno hayo ameweka picha hii.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
11 Jul 2015

Post a Comment

 
Top