Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards  kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo...
Pia amedai kuwa yeye na Diamond walishayamaliza hivyo hataki kujihusisha na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya kipindi cha nyuma na hawezi rudia kosa..

Katika hatua nyingine Wema Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye kumsapoti Ali Kiba katika tuzo za Kill Music kilikuja baada ya Ali Kiba yeye Mwenyewe Kumuomba Wema Kufanya Hivyo na kumtumia picha ambazo alizipost kwenye Account yake ya Instagram....

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
27 Jun 2015

Post a Comment

 
Top