Home
»
King Majuto
»
wema sepetu
» Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na kuleta mabadiliko.Kapeleke mabadiliko Singida na Tanzania nzima.
Muhimu ni kuwa na juhudi uwezo imani pamoja na uzalendo. Ujumbe huu pia ni kwa kila kijana na mwanamke mwenye lengo na nia ya udhubutu. Inshallah. Ramadhan Maqbul Waislam wote. Mzee Majuto alimaliza na kumtag Wema.
Moja kati ya waliochangia kwenye andiko hili la Mzee Majuto, ni Diamond Platnumz ambaye alimtaka Wema abadilike kama kweli anautaka ubunge.
“Swala siyo watu kumvunja moyo ,..ila yeye abadilishe akili ya mambo ya kushabiki migogoro ya watu wengine mitandaoni aache..katia aibu sana jana ,katangaza ubunge na bado ana shadadia ugomvi wa Diamond na Davido ,...mbunge ndo wakuwa na akili hii kweli,...watu wanahasira na upuuzi unaofanya na team yake na bado yeye mwenyewe anachochea ...watu watamuachaje....abadilike kama kweli anataka kugombea ubunge”
Wewe mdau unakipi cha kusema hapa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- VIDEO: Mama Wema Aeleza Beef yake na Man Fongo Kisa……..09 Sep 20160
NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa ...Read more ?
- Wema Sepetu ampigia magoti Idris Sultan22 Aug 20160
Uhusiano wa Wema Sepetu na Idris Sultan unaanza kutukumbusha ule wa Chris Brown na Karrueche Tr...Read more ?
- Wema Sepetu: Niacheni jamani Nimechoka03 Aug 20160
Wema Sepetu Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ameonesha kuchoka na maneno mbalimbali k...Read more ?
- Idris Sultan Amtundika Mimba Wema Sepetu25 Jan 20160
Mshindi wa Big Brother Afrika, Idris Sultan amepasua jipu kuhusu uhusiano wake na Wema Sepetu...Read more ?
- Kipindupindu Chanyemelea Nyumbani Kwa Wema Sepetu28 Aug 20150
Mrembo Wema Sepetu Taarifa za ugonjwa wa kipindupindu zimebadili mfumo wa maisha ya watu wengi i...Read more ?
- Wema Sepetu na Lowassa ni 'Paka na Chui'......Atoa ONYO Kali Kwa Team Wema11 Aug 20150
Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii jana kupitia mtandao wa Instagram a...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment