Club ya Jijini London, Arsenal wamezindua jezi mpya zilizotengenezwa na kampuni ya Puma ambazo watazitumia katika msimu wa 2015/2016 kwa mechi za nyumbani.
Jezi hizo zenye rangi nyekundu na nyeupe zimezinduliwa katika uwanja wa Emirates na kampuni ya vifaa vya michezo Puma baada ya mkataba wa paundi milioni 30 walioingia na Arsenal mwaka jana.
Welbeck, akiongea na Gwiji wa Arsenal, Thierry Henry wakati wa uzinduzi wa jezi hizo mpya
Picha Baadhi ya wachezaji wakati wa uzinduzi wa jezi mpya za nyumbani ambazo zitaanza kuuzwa Juni 25 mwaka huu.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment