March 19, 2025 05:08:18 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
faiza
Leo June 23 2015 Mahakama ya Sinza Dar imetoa hukumu ya hatma ya mtoto wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na mzazi mwenzake Faiza kwa kuruhusu mtoto huyo kulelewa na baba yake kwa madai kuwa mama hana vigezo vya kumlea mtoto huyo kimaadili.
Faiza yuko na Soudy kwenye U Heard… ameongea kwa huzuni kuhusu hukumu hiyo, anadai kuwa hajatendewa haki na pia baba wa mtoto hawezi kumlea kwa sababu ana mambo mengi.
Hata hivyo Faiza amesema pamoja na lawama ambazo amepewa kuhusu mavazi yake bado yuko tayari kujirekebisha.
U Heard iko hapa kwenye hii sauti hapa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
23 Jun 2015

Post a Comment

 
Top