March 17, 2025 10:32:04 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Zari All White Party ilivutia umati mkubwa wa watu Ijumaa hii. Party hiyo ya kishua iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam ilihudhuriwa na mastaa kibao wakiongozwa na Diamond na mchumba wake Zari, rapper wa Afrika Kusini, AKA, mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi na wengine. Tazama video za hapo chini za burudani na mambo yalivyokuwa. 
Tazama Matukio mbalimbali katika Zari All White Party:

>>>>Video zote na Bongo5

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
02 May 2015

Post a Comment

 
Top