March 17, 2025 02:22:14 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Gareth Bale flops again as Roy Keane slams Real Madrid forward's performance during

Mchezo wa kwanza wa nusu fainali za Kombe la Mabingwa barani Ulaya kati ya Juventus ya Italia dhidi ya Real Madrid ya Hispania umefanyika Jumanne usiku kwa Juve kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Juventus wenyeji wa pambano hilo walipata bao lao la kwanza katika dakika ya 8 ya mchezo kupitia kwa Alvaro Morata. Hata hivyo Cristiano Ronaldo alisawazisha katika dakika ya 27. Matokeo yaliyodumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika.
Juventus walipata goli tena katika dakika ya 57, kutokana na mpira wa adhabu ya penalti, ambapo Carlos Tevez aliifungia timu yake. Hadi kipenga cha mwisho, Juventus 2, Real Madrid mabingwa watetezi 1. Timu hizo zitarudiana tarehe 13 Mei katika uwanja wa Bernabeu, mjini Madrid.
Katika pambano lingine la nusu fainali za Kombe la UEFA, timu nyingine ya Hispania, Barcelona wanawaalika Bayern Munich ya Ujerumani Jumatano usiku katika uwanja wa Nou Camp. Barcelona itakuwa na kibarua kigumu kuwaangusha Bayern ambayo kwa sasa inafundishwa na kocha wake wa zamani Pep Guardiola.Bale did not create a single chance for his team-mates before being substituted in the closing stages
The £86million forward struggled to make any impact during another dismal performance

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
06 May 2015

Post a Comment

 
Top