March 15, 2025 02:31:57 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.

Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni,  Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao.

“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote navihitaji maana nikipata mapenzi tu bila pesa nitaishia kukusaliti wewe je unaonaje??”- Shamsa aliuliza

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
12 May 2015

Post a Comment

 
Top