March 17, 2025 02:35:48 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Malkia wa Filamu za Kibongo kutoka Kiwanda cha Bongo Movie Wema Sepetu ambaye mwaka jana aliachana Rasmi na Aliyekuwa mpenzi wake msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayemiliki Hit single ya Nasema Nawe aliyomshirikisha Malkia wa Taarabu nchini Khadja Kopa, Diamond Platnumz, Licha ya kwa wamechana lakini watu wamekuwa na maswali mengi kama ni kweli Wema hamsi hata kidog Diamond amefunguka kwenye mahajiano na kipindi cha Kabali cha EFM mengi ambayo tulikuwa hatujia kabisa bonyeza PLAY kusikiliza au bonyeza HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
15 May 2015

Post a Comment

 
Top