Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Nurse 
Hili tukio huenda likakushtua kutokana na mazingira ambapo limetokea, sawa tunaenda Hospitali kutibiwa lakini wale wanaotoa huduma wakati mwingine wanakuwa na mambo yao tofauti.

Hii story unaambiwa imetokea Uingereza, Andrew Hutchinson ni nesi wa kitengo cha dharura Hospitali ya John Radcliffe Uingereza, amekutwa na hatia ya kuwabaka wagonjwa watatu walioenda kupatiwa matibabu katika Hospitali hiyo.John-Radcliffe-Hospital
                     
                Hospitali ya John Radcliffe
Muuguzi huyo anadaiwa kuwabaka wagonjwa hao waliofikishwa  kwenye Hospitali hiyo wakiwa wamepoteza fahamu, halafu akakutwa na picha na video alizojirekodi wakati akifanya kitendo hicho.

Polisi walipomkamata walikagua simu yake, computer na camera na kukuta picha hizo.. 

Mtuhumiwa anashikiliwa na bado uchunguzi unaendelea kwani jamaa imeonekana ana kesi pia ya kubaka watoto wawili.
Wanawake waliofanyiwa vitendo hivyo hawakujua chochote kwa kuwa jamaa aliwaingilia wakiwa hawana fahamu.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top