IMEVUJA! Baada ya uhusiano wake na Mbongo Fleva, Malick Bandawe kuvunjika, staa wa sinema Bongo, Rose Ndauka kwa sasa anadaiwa kuzama kwenye penzi zito la Prodyuza wa Bongo Fleva, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky’.
Kwa mujibu wa chanzo, kwa muda mrefu wawili hao wamekuwa wakionekana sambamba kama kumbikumbi hasa nyakati za usiku katika maeneo tofauti ikiwemo studio ambayo Manecky anafanyia kazi zake na sehemu nyingine. “Rose na Manecky ni wapenzi kwani muda mwingi wako pamoja, wanaongozana kama kumbikumbi hasa usiku. Huwa tunawaona wanakuja maeneo ya hapa Afrika Sana wanakwenda kununua chakula cha jioni huku Manecky akijinadi kuwa ameamua kuwa na Rose kwa kuwa mke wake halali hivi sasa ni mjamzito,” kilisema chanzo hicho.
Mara baada ya kupata taarifa hizo, mwandishi wetu aliwatafuta wawili hao ili kuweza kujibu tuhuma hizo ambapo Manecky alipopatikana alikanusha na kudai ukaribu wao unaletwa na kazi. “Ukaribu wangu mimi na Rose ni kazi tu kwani kuna ‘project’ t
Credit: Amani/Gpl
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment