Mtoto Eli Thompson ambaye alizaliwa March 4th katika Hospital ya Alabama akiwa hana pua. Cha ajabu na kushwangaza mtoto huyu mara baada ya kuazaliwa tu alianza kupumulia mdomo, Mama wa mtoto huyu Brandi McGlathery, alisema alijua mtoto wake amezaliwa huku kitu kikiwa hakika sawa katika mwili wa mwanae
"I pulled back and said, 'Something's wrong! And the doctor said, 'No, he's perfectly fine.' Then I shouted, 'He doesn't have a nose!'"
Kwa mujibu wa mama huyu anasema hali aliyonayo mwanae yeye anaona yuko sawa, madaktari nao wanasema halii hii huathiri karibu watu 40 kukosa viungo vyote vya mwili pindi wanapozaliwa.
Huyu anahitaji maombezi yenu wadau fanya Kutype Ameni chini kwenye comment box maombi yako yatamfikia.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- kama siku yako haijafika ni haijafika tu… tazama hizi dakika 9 uone watu wanavyokoswakoswa18 Dec 20150
Ni kumuomba Mungu tu siku zote na kama hajapanga hiyo siku iwe ya mwisho kwako, hata iweje haitak...Read more ?
- Leo nimekuletea hii utazame barabara 10 hatari kwenye hii dunia! kosa moja tu la dereva….14 Jul 20150
Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka k...Read more ?
- AJABU:Mwanaume Apandikiziwa Uso wa Mtu Mwingine Baada ya Uso wake Kuaribika na Kuwekewa Sura ya Mtu aliyekufa31 May 20150
Picha ikimwonyesha Norris kabla hajapata ajali, alivyopata ajali na baada ya kuwekewa uso mwingin...Read more ?
- Maajabu: Kila mtu na starehe yake…lakini ya bibi huyu ni kula mchanga kila siku!!15 May 20150
Kibonajoro.com iliwahi kuandika stori ya mama mmoja Evelyne kutoka Missouri, Mare...Read more ?
- Maajabu! Mwanadada Ajifungua 'NAZI' badala ya Mtoto,Ushirikina watajwa30 Apr 20150
Maajabu! Msichana aliyefahamika kwa jina la Dora mkazi wa Magomeni Bagamoyo mkoani Pwani, hivi k...Read more ?
- Ajabu na kweli Ng'ombe Awala Kondoo Kenya, Akataa Kula Majani...(Video)!!24 Apr 20150
Mkulima mmoja nchi Kenya anasema kuwa mmoja wa ng'ombe wake amesusia lishe yake ya kawaida na...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment