Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
bibi3
Kibonajoro.com iliwahi kuandika stori ya mama mmoja Evelyne kutoka Missouri, Marekani kupenda kunywa mvuke wa air freshner kila siku na ana uwezo wa kumaliza makopo 20 ndani ya siku saba.
Stori inayofanana na iyo ni kutoka kwa bibi huyu raia wa India ambaye ameingia kwenye Headlines baada ya kupendelea kula mchanga kila siku na kuwa na uwezo wa kula kilo moja kila siku.
bibi2
Sudama Devi mwanzoni akiwa na miaka 10 alianza kama utani wakati akiwa na rafiki zake lakini sasa ameshaathirika na hawezi kumaliza siku bila kula kiasi hicho cha mchanga ambacho amekiri haijamletea tatizo lolote tangu aanze kula.
Pamoja na kuonekana wa ajabu ndani ya jamii inayomzunguka ikiwemo watoto wake amesema huwa anajisikia vizuri kula mchanga na anaona kama anakula sukari na akila ndio humfanya asikie njaa ya kula chakula.
bibi
Kwa sasa ni mama wa watoto wanne baada ya sita kufariki dunia na hakuna mtoto wake yeyote mwenye tabia kama yake.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top