March 21, 2025 02:19:27 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mkurugenzi wa habari na uenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amemshambulia kwa maneno makali hasimu wake na adui namba moja wa Chama chake Mhe Zitto Kabwe kwa kumuita muongo na kwamba amewatumia waandishi wa Habari kuandika taarifa za Uzushi kuhusu Mnyika.

Mnyika ametoa tuhuma hizo dhidi ya Zitto asubuhi hii kupitia akaunti yake ya Twitter na kumtahadharisha Zitto kuwa atamchukulia hatua Kali za kisheria kwa kupitosha mazungumzo ya Mnyika na familia ya Mwalimu Nyerere.

Sasa hivi imebainika kuwa ni vita kamili baina ya Zitto na Mnyika hasa baada ya kubainika tetesi kuwa Zitto anagombea jimbo la Ubungo ambalo liko chini ya Mnyika hivi sasa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
22 Apr 2015

Post a Comment

 
Top