March 16, 2025 01:49:44 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 

Mchezo uliochezwa mapema leo, Everton wametoka kifua mbele kwa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa kwenye Uwanja wa Goodison Park. 

Mabao ya Everton yamefungwa na J.McCarthy dakika ya 5 na J. Stones dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza na 
K. Mirallas dakika ya 74 kipindi cha pili. 

Vikosi: 
Everton: Howard, Baines, Stones, Jagielka, Coleman, Barry, McCarthy, Osman, Barkley, Lennon, Lukaku Everton walio benchi: Joel, Kone, Mirallas, Naismith, Besic, Garbutt, Alcaraz
Manchester United: De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Shaw, Blind, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney Man Utd walio benchi: Valdes, Di Maria, Falcao, Januzaj, Van Persie, Blackett, Pereira








Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
26 Apr 2015

Post a Comment

 
Top