Chelsea imezidi kuusogelea ubingwa baada ya kushinda kwa bao 1-0 dhidi ya QPR, leo.
Licha ya kutocheza vizuri, Chelsea imepata bao hilo pekee kupitia kwa Cesc Fabregas katika dakika za lala salama 87.
QPR: Green, Isla, Onuoha, Caulker, Hill, Phillips, Barton, Sandro (Kranjcar 81mins), Henry, Austin, Zamora (Hoilett 83)
Subs not used: McCarthy, Dunne, Mitchell, Grego-Cox, Comley
Booked: Zamora, Sandro
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires (Oscar 56), Matic, Willian (Cuadrado 80), Fabregas, Hazard, Drogba.
Subs not used: Cech, Luis, Zouma, Mikel, Brown
Booked: Drogba
Goal: Fabregas 87
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment