Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
twinx
Hii imewavutia wengi mitandaoni mtu wangu, ukiangalia picha na video za mapacha hawa watatu utavutiwa na jinsi harusi yao ilivyoweza kuwa ya kuvutia wengi baada ya kuifanya huku wakiwa wamefanana kila kitu.
mapacha2
Kufanana kwa wasichana hao kulifanya hata wanaume zao kujichanganya wakati mwingine siku ya ndoa.
mapacha3
Rafael, Rochele na Tagiane ni mapacha watatu wa Brazil… wako kwenye headlines leo, baada ya kuamua kushare pamoja siku yao ya kufunga ndoa.. wamefanana kila kitu yani.
mapacha6
nice

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top