Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu  kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya daladala mbili aina ya Toyota Coaster kupata ajali eneo la Mkwajuni-Darajani jijini Dar es Salaam.

Daladala hizo zinafanya safari yake kati ya Kawe - Kariakoo na nyingine kati ya Temeke - Makumbusho.
Habari zaidi pamoja na picha za ajali hiyo zitawajia hivi punde.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top