Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Picha Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Z.Kabwe akihutubia umati mkubwa wa wana Songea waliohudhuria kumsikiliza,ikiwa ni ziara yake ya kwanza toka ang'atuke katika chama cha CHADEMA.



Picha Hapa ni Mapokezi ya Viongozi wa Kitaifa wa chama cha ACT Wazalendo  Songea
Afande Sele akisalimia wanamkutano
Viongozi wa Kitaifa wa ACT Wazalendo

 Wanasongea wakiwa kwenye mkutano wa chama cha ACT Wazalendo hii leo
Wanahabari wakiwahoji viongozi
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Tanzania Bara akisalimia na kuongea na wanamkutano
Wana Songea wakisikiliza hotuba

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top