Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mrembo na mwigizaji wa filamu wa hapa Bongo anayefanyia kazi zake nchini Ujerumani, Ashuu Ally “Ashley Toto amekanusha kuwa na mahusia yo kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufuatia  taarifa za udaku zilizoenea hivi karibuni kwenye mazagezi ya udaku na blogu mbalimbali kuwa wawili hawo wapo kwenye mahusino ya siri.
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa Instagram Ashley Toto alibandika picha ya moja ya blogu (hapo juu) iliyoandika stori hiyo na kuandika maneno haya.
“Waandishi wa magazeti hamuna kazi za kufanya??? au ndio hizo za kuota na kuandika vitu vya …ushuzi ...... I have nothing to do with diamond ..........I have ma boyfriend so plz ...”
Nadhani ameeleweka.



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top