Mchezaji mkongwe wa Arsenal, Thiery Henry amefichua kuwa ndoto yake kuu ni kumrithi kocha wa timu hiyo Arsene Wenger katika klabu hiyo.
Mchezaji huyo wa zamani ambaye ndiye anayeongoza kwa idadi ya mabao katika klabu hiyo akiwa na magoli 228, aliripotiwa kupewa nafasi ya kuanza kufundisha soka katika chuo cha ukufunzi wa soka katika klabu hiyo mapema mwezi huu.
Raia huyo wa ufaransa amekiri kwamba ana mipango ya kumrithi Wenger wakati kocha huyo atakapoamua kustaafu.
“Sijui ni kwa muda gani Wenger anataka kuendelea kuwa kocha wa Arsenal, lakini ni sharti niwe mzoefu wa kutosha kuchukua wadhifa huo,kuwa kocha wa Arsenal ni ndoto yangu kubwa,lakini nafaa kujifunza mwanzo,hicho ndicho kitu muhimu,”-Thiery
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Ujumbe wa Samatta kwa Waliotamani Genk Ingepangwa Kundi Moja na Man United28 Aug 20160
Mchana wa August 26 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makund...Read more ?
- Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya mwanasoka bora Ulaya26 Aug 20160
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora Ulaya. Ron...Read more ?
- Makundi ya klabu Bingwa Ulaya 2016/201726 Aug 20160
Droo ya kupanga Makundi ya klabu Bingwa Ulaya 2016/2017 ratiba kamili ya hatua ya makundi ya Uefa ...Read more ?
- MICHEZO Bilionea anayetaka kuinunua Simba, ametaja kilichomsikitisha katika mkutano wa Simba01 Aug 20160
Siku moja baada ya mkutano mkuu wa Simba kufanyika na kukubali kupitisha maadhimio ya mabadilik...Read more ?
- Gonzalo asajiliwa na Juventus kwa pauni milioni 7528 Jul 20160
Klabu ya Juventus wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain kutoka klabu...Read more ?
- Hongera Yanga kwa mlipofika, tujipange upya28 Jul 20160
Ni muda mrefu soka la Tanzania kwenye ngazi za vilabu limeonekana kuzorota kufuatia vilabu vyake k...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment