
Phillipe Coutinho alifunga bao la ushindi na kuiwezesha Liverpool kuharibu matumaini ya Mancity kulitetea taji lake katika uwanja wa Anfield..
Bao la Jordan Henderson liliiweka mbele Liverpool kabla ya Edwin Dzeko kusawazisha.
Lakini Mchezaji wa Brazil Coutinho alipachika bao la kuvutia alipofunga kutoka nje ya eneo la hatari.
Matokeo hayo yanaiweka Mancity pointi 5 nyuma ya Chelsea huku wakiwa wamecheza mechi moja zaidi nayo Liverpool ikipanda hadi nafasi ya tano katika msimamo.
Timu zilipangwa kama ifutavyo:
Kikosi cha Liverpool (3-4-3): Mignolet 6.5, Can 7, Skrtel 7, Lovren 6.5, Markovic 6.5 (Sturridge 76), Henderson 8.5, Allen 8.5, Moreno 6.5 (Toure 82), Coutinho 9.5, Sterling 7.5, Lallana 8
Subs not used: Lambert, Borini, Balotelli, Williams, Ward.
Manager: Rodgers 8
Goals: Henderson 11, Coutinho 75
Booked: Lallana
Kikosi cha Man City (4-1-3-2): Hart 6.5, Zabaleta 7.5, Kompany 5.5, Mangala 5, Kolarov 5.5, Nasri 6 (Lampard 83), Toure 5.5, Fernandinho 6.5 (Bony 78), Silva 6.5, Aguero 7.5, Dzeko 5.5 (Milner 58).
Subs not used: Fernando, Caballero, Clichy, Demichelis
Manager: Manuel Pellegrini 5.5
Goal: Dzeko 26
Booked: Fernandinho, Milner, Bony
Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)
Attendance: 44,590



Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment