July 29, 2025 03:52:34 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
UBUYU: Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth  Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa  fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.

Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa

" vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili kumtuliza mwandani wako asikukimbie au kukunyang'anya vitu vyake."
JF-Warumi

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
15 Mar 2015

Post a Comment

 
Top