Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Huyu mtoto ana miaka 3 anaitwa Nice, kwao ni Kiteto kijijini huko Manyara. Lakini cha ajabu ana uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na nyingine ngumu kwa uwezo wa kutisha na kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi. Ukimuongelesha kiswahi li anakwambia 'Please speak english'. Cha kushangaza zaidi ni kwamba tangu azaliwe hajawahi kwenda shule au kuhudhuria darasa la aina yoyote.
  
Na kama ujuavyo mazingira ya kijiji watu huzungumza lugha ya eneo husika lakini yeye ameweza kuongea kingereza bila kujua wapi amejifunza. na unaambiwa wakati mwingine huwafundisha wanafunzi wa form 1.
 
Picha na EATV

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top