Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baada ya Kujifungua Mtoto wa Kiume na Kuachia Single mpya inayoitwa Hawashi Snura wa Majanga Amejinadi na kusema kwa sasa kiuno chake hakina mfupa kinazunguka balaa , Snura amesema kwa sasa kiuno chake ni kiuno panya road...Shilole Unalo Hapo .....!!!
  Embu angalia hichi kipande cha Video Snura akifanya yake alipopewa nafasi na watangazaji wa Clouds FM kuonyesha kiuno Panya Road:  AU Bonyeza {HAPA}

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top