Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MSANII wa filamu Bongo, Salim Omary  ‘Slim’  hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kufunga sambusa ukumbini na kuondoka nazo kwa kile alichodai hana wa kumpikia.
Msanii wa filamu Bongo, Salim Omary  ‘Slim’ akifungasha sambusa hizo.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita kwenye Ukumbi wa Akemi, Golden Tower, Posta jijini Dar ambapo kulikuwa na uzinduzi wa filamu ya Wekeza Inalipa iliyowakutanisha wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki.
Baadhi ya wasanii wenzake waliokuwa ukumbini hapo walionekana wakimshangaa na kumuuliza kulikoni kuchukua sambusa za shughuli na kuzifungasha kwenye pochi ya msanii mwenzake, Jack Pentzel ‘Jack Chuz’.
“Kwa sasa sina mke baada ya kuachana naye hivyo naishi hivi, sambusa hizi zitanisaidia asubuhi kunywa chai,” alisikika  Slim akiwajibu wasanii wenzake.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top