Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwanamuziki Kamikaze amezidi kupigilia msumari beef aliyonalo na Bob Junior kwa kumchukulia Demu..Demu huyo mwigizaji wa Bongo Movies anayejulikana kwa Jina la Sabby amenaswa sehemu mbali mbali akijivinjari na Mwanamuziki Kamikaze huku Bob Junior akiachwa kwenye mataa.. Picha na Video wakiwa faragha zimevuja mtandaoni zikionesha mahaba makubwa kati yao .... Angalia Video Hapa ujionee.....


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top