Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’amefunguka na kusema wazi kuwa anampenda staa mwenzake, Mwisho Mwampamba kwa kile alichodai kuwa ana roho nzuri, na kusisitiza kuwa kwa sasa yeye hana mahusianao ya mwanaume wa kitanzania na ieleweke hiyo.

Kabula  aliyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kubandika picha ya Mwisho.

“Wee ndo mchizi wangu jambazi wangu nakupendaga tu kwa roho yako mzungu wangu ndo vile ukiibukaga Tanzania nakuwaga happy....sihitaji fununu bandugu nishasema sina mahusiano na mwanaume wa kitanzania maana kama nawaona mtavyo taka kuyabadirisha....kichwa cha habari jini kabula ajiweka kwa MWISHO hiyo kesi mtaijibu wenyewe kwa mkewe..” –Kabula aliandika.

Nadhani ameeleweka vyema hapa.

Mzee wa Ubuyu/Bongo Movies

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top