Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa amekuja kivingine na mwingine, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaosema hawa mpendi na kumchukia lakini bado wanapeleleza na kumfualitia kila anachokiweka mtandao, na kutumia akaunti feki kumchafua kwa maneno machafu....amewaita jina baya na kuwambia wanatamani kuwa kwenye matawi yake....  

“If u say u Hate me and still come spying on what i post plus create fake accounts to insult me,BITCH you actually Envy me... Gnyt now....” Wema aliandika maneno haya mtandao jana usiku.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top