Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Tuzo nyingine kutoka Uganda imekabidhiwa kwa Diamond Platnumz, ni tuzo za Hiphop Music za nchini Uganda. 
 
Kwenye kipengele hiki Diamond alikuwa anawani tuzo hii na wasanii kutoka Kenya, Uganda, na Rwanda. Bebe Cool ndio ameshinda tuzo nyingi zaidi, ameshinda sita.
 

Kipengele kilikuwa hivi
Tayali – Urban ft Iyanya
Sitya Loss – Eddy Kenzo
Ndagushima – Ommy Dimpoz
Number One – Diamond Platnumz
Nishike [Touch Me] – Sauti Sol
Love You Everyday – Bebe Col
Kioo – Jaguar
Baramushaka – Knowless

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top