March 19, 2025 08:15:25 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hatimaye zile tetesi  kwamba mwigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz wanatoka kimapenzi  zimekuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 200....
 
Tetesi  hizo  zimethibitishwa na picha waliyopiga jana usiku wakiwa bafuni huku Wema akiwa amevaa taulo tu na  Ommy Dimpoz akionekana kwa mbali kama ananawa mikono. 
 
Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema, kwani comments na likes zilivyo tiririka utadhani  picha imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku wa manane.

Baadhi ya picha zao 
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
07 Feb 2015

Post a Comment

 
Top