Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu.
Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni .
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment