Msanii wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anashangazwa na uvumi unaoendelea kuwa yupo katika uhusiano na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu.
Akielezea kuhusu picha zilizosambaa kwenye mitandano ya kijamii, Ommy Dimpoz, alisema walikuwa Afrika Kusini kwa mapumziko ndipo picha hizo zilipopigwa.
“Tunapiga picha nyingi sana na Wema hata uki-google utaziona, hii siyo mara ya kwanza, lakini sijui kwanini hizi zimetengeneza taswira nyingine kwa mashabiki,” alisema.
Ommy alisisitiza kuwa yeye hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ex wa rafiki yake, na kuwa yeye na Wema walikuwa wakifahamiana hata kabla ya Wema kuanza mahusia ya kimapenzi na Diamond. Hivyo kuacha kwao haiwezi kumpelekea yeye awe mbali nao kwani hayo ni mambo yao binafsi.
Japokuwa Ommy anaamni kuwa kwenye pitapita za kimaisha inawezekana mtu akawa na mahusiano ya kimapenzui na Ex wa rafiki yake, kwani hicho kitu kinawezekana.
“Ku-date na Ex wa rafiki yangu, kwa mimi hapana lakini kuhusu maswala ya mapenzi lolote linaweza kutokea kwasababu umesha sema Ex kwahiyo it means hawapo kwenye mahusiono tena kwahiyo inaweza ikatokea huko mbele mbele maisha yameendelea watu wakaja kukutana , kwa huyo vitu hivyo vinawezekana” Dimpoz alieleza.
Picha za wawili hao wakiwa katika pozi tofauti zimeendelea kuwa gumzo na kuzua maswali mengi kwa mashabiki, kutokana na ukaribu aliyonao Ommy Dimpoz na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema, Nasib abdul ‘Diamond’.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Mfungo Wamuepusha Amanda na Skendo...'Mwezi Huu Nguo Fupi za Kuwatega Wanaume Nimeziweka Pembeni'01 Jul 20150
Staa wa bongo movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa mfungo wa mwezi wa ramadhan...Read more ?
- Jingine Laibuka Kuhusu Rais wa FIFA..Kumbe Pia Alikuwa Anakula Demu wa Mchezaji Cristiano Ronaldo06 Jun 20150
Hali bado sio shwari kwa upande wa Rais wa FIFA, Sepp Blatter… Zimepita siku chache tu tangu atan...Read more ?
- Wellu Sengo Adaiwa Kutoka na Mume wa Mtu Mwigizaji Mwenzake Steven Nyerere02 May 20150
Mrekebishatabia wa Insta ameibua Mazito Kama ifuatavyoSaaaasa????? @stevenyerere2 ndo umeoa mke ...Read more ?
- Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’22 Apr 20150
Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movie...Read more ?
- Kipa wa Simba JR MANYIKA 'Anae Sema Naima Ananiua Kiwango Aje Acheze yeye Mimi Sio Khanisi Nina Haki ya Kuwa na Mpenzi'21 Apr 20150
BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bar...Read more ?
- Mume wa Mtu Apiga Picha za Utupu na Mchepuko..Picha Zasambaa Mtandaoni07 Mar 20150
KALOLI Dawa ambaye ni mume wa mtu, amedaiwa kujipiga picha za utupu akiwa na mchepuko wake uliofa...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment