March 25, 2025 10:51:20 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya ishu yake yakutaka kumposa Wolper kugonga mwamba  hii ni kwa mujibu wa magazeti ya udaku hapa bongo, mwigizaji machachali Manaiki Sanga ‘The Don’ usiku wa jana alitupia picha mtandaoni akiwa na mwanadada Irene Uwoya (Hiyo hapo juu) na kuwa “tag” mastaa kibao wa filamu wa hapa Bongo.
Hali hii ilisababisha watu wengi kuhoji kama Manaiki ameamua kumchumbia Irene baada ya Wolper kuzingua au nini?, maswali hayo hayakupata majibu lakini wapo baadhi walidai kuwa Manaiki kwasasa ana project mpya ya kutengeneza filamu ambayo itawashirikisha mastaa zaidi ya 30 wa hapa bongo, na hivyo basi Uwoya anaweza kuwa ni moja kati ya mastaa amabo watashiriki.
Tuendelee kusubiri, muda utaongea!!!.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
01 Feb 2015

Post a Comment

 
Top