Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baby+feet
Kuna matukio ambayo huwa yanachukua headlines kubwa kwenye vyombo vya habari kutokana na sababu mbalimbali, mengine sio ya kawaida kuyasikia hivyo hata ukiyasikia lazima yawe ya kushtua.
Mwanamke mmoja Catherine wa Kenya amemuua mtoto wake aliyejifungua siku tano zilizopita na kula moyo wa mtoto huyo, kisha akaingia nyumba ya jirani yake na kuwaua watoto wengine wawili ambapo majirani walimkuta baada ya kufanya tukio hilo.
Msichana mwingine amekuja ananiambia zuzuu unakaa na watoto wote wa muzoni wanauliwa iko hapo kwa kitanda mimi nilitoka mbio.. nakuja hapa nakuta wototo wote wanauliwa iko kwa kitanda” alisema shuhuda mmoja wa tukio hilo.
Mwanamke huyo anashikiliwa kituo cha Polisi huku uchunguzi ukiendelea, mashuhuda wanahusisha tukio hilo na imani za kishirikina.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top